Plot4Sale Kiwanja kinauzwa nyegezi Mwanza

atrickmagesa1

Member
Joined
Apr 14, 2016
Posts
17
Reaction score
4
MWANZA
Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi
Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555

Bei yake ni 3 million
Mazungumzo yanakaribishwa
 
Ahsante mkuu kwa taarifa hiyo.
 
Ungeweka na mawasiliano yako ya simu ili kuwavutia na wateja wengine ambao hawana uwezo wa kukufuata PM!
 
MWANZA
Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi
Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555

Bei yake ni 3 million
Mazungumzo yanakaribishwa
Kwa mawasiliano zaidi waweza nipata kwa namba 0762211774 au 0654589824
 
MWANZA
Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi
Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555

Bei yake ni 3 million
Mazungumzo yanakaribishwa
Inawezekanaje hizo mita za mraba 555?
 
Back
Top Bottom