atrickmagesa1
Member
- Apr 14, 2016
- 17
- 4
Ahsante mkuu kwa taarifa hiyo.MWANZA
Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi
Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555
Bei yake ni 3 million
Mazungumzo yanakaribishwa
Sawa mkuu nashughulikia hiloUngeweka na mawasiliano yako ya simu ili kuwavutia na wateja wengine ambao hawana uwezo wa kukufuata PM!
Kwa mawasiliano zaidi waweza nipata kwa namba 0762211774 au 0654589824MWANZA
Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi
Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555
Bei yake ni 3 million
Mazungumzo yanakaribishwa
Unaweza kunipatia kilicho karibu na ziwa; saizi ya kuanzia nusu eka hadi eka moja.Kwa mawasiliano zaidi waweza nipata kwa namba 0762211774 au 0654589824
Inawezekanaje hizo mita za mraba 555?MWANZA
Kiwanja kinauzwa nyegezi majengo mapya kilomita mmoja kutoka stendi kuu ya mabasi ya Nyegezi
Kimepimwa na kina ukubwa wa mita za mraba 555
Bei yake ni 3 million
Mazungumzo yanakaribishwa