Kiwanja kinauzwa - pugu mwakanga

Kiwanja kinauzwa - pugu mwakanga

Dandaj

Member
Joined
Apr 16, 2009
Posts
73
Reaction score
3
Wa ndugu habari za Alasiri,
Ninauza kiwanja, kipo maeneo ya Pugu Mwakanga kuelekea CHANIKA. Kimepimwa na kina letter of offer na ukubwa wake ni 971sqm. Bei ni 5.7 M tu. Kipo sehemu nzuri kabisa iliyotambarare.Upande mmoja kinapakana na Barabara ya mtaa.

Mawasiliano kwa njia ya simu: 0715994725 au 0784994725.
 
Dah huku Pugu ngoja niwasiliane na mkuu Next Level
 
Back
Top Bottom