Kiwanja kinauzwa sakina sio mbali kutoka barabarani

Kiwanja kinauzwa sakina sio mbali kutoka barabarani

chuku

Member
Joined
Jun 9, 2009
Posts
40
Reaction score
0
Kuna kiwanja kinauzwa sakina (ARUSHA). Ukubwa wa kiwanja hicho ni meta 25 kwa 26. Mwenye nia ya kuhitaji awasiliane kwa Na. ya simu 0754367366. Bei ni maelewano.

karibuni waja JF.
 
Last edited:
Kuna kiwanja kinauzwa sakina karibuni waja JF.

toa maelezo kamili, ukubwa kiasi gani, namba za simu, bei kiasi gani, huduma zinginezo vipi upatikanaji wake etc, that is how to make bussines
 
Kuna kiwanja kinauzwa sakina karibuni waja JF.

Come on Chuku, maelezo yako utadhani unawapa malaika wenye maono ya kujua ukubwa wa kiwanja bila kuambiwa, bei yake, contact person etc.
 
Ukubwa wa kiwanja hicho ni meta 25 kwa 26. Mwenye nia ya kuhitaji awasiliane kwa Na. ya simu 0754367366. Bei ni maelewano.
 
Ukubwa wa kiwanja hicho ni meta 25 kwa 26. Mwenye nia ya kuhitaji awasiliane kwa Na. ya simu 0754367366. Bei ni maelewano.

Kimepimwa na kuwa kinalipiwa kodi zake? ama ni squatter
 
Weka bei hata ya kuanzia kaka.... Na vipi kuna huduma gani hapo karibu kama kanisa, msikiti, soko. Au kama kuna any development katika kiwanja. Kama kuna msing tayari, au kuna matofali au mchanga.....

....LAZIMA UVUTIE BIASHARA KAKA, MAANA KWA MIAKA HII BIASHARA NI USHINDANI KAKA.... BADILIKA KAKAA!!!!!!!!!!!!!
 
huyu ni dalali tu!
Hata hivyo si uweke bei hata ya makadirio ili watu wajue kama wanaweza kujikunja?
 
sakina ipi? mana kuna sehemu nyingine zina shida ya maji sana huko...kuna mtu alikuwa anahitaji maeneo ya sakina kuanzia pale G&T na LUSH, sasa cjui cha kwako kipo eneo gani.
 
Back
Top Bottom