Kuna kiwanja kinauzwa sakina (ARUSHA). Ukubwa wa kiwanja hicho ni meta 25 kwa 26. Mwenye nia ya kuhitaji awasiliane kwa Na. ya simu 0754367366. Bei ni maelewano.
Weka bei hata ya kuanzia kaka.... Na vipi kuna huduma gani hapo karibu kama kanisa, msikiti, soko. Au kama kuna any development katika kiwanja. Kama kuna msing tayari, au kuna matofali au mchanga.....
....LAZIMA UVUTIE BIASHARA KAKA, MAANA KWA MIAKA HII BIASHARA NI USHINDANI KAKA.... BADILIKA KAKAA!!!!!!!!!!!!!
sakina ipi? mana kuna sehemu nyingine zina shida ya maji sana huko...kuna mtu alikuwa anahitaji maeneo ya sakina kuanzia pale G&T na LUSH, sasa cjui cha kwako kipo eneo gani.