dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #21
Serikali ya Mtaa hawana mamlaka yeyote kisheria kutambua au kusimamia Ardhi Mkuu...Ni sawa na mm nikikitambua basi haina mana yeyote kisheria .
Kiwanja kilichopo kigamboni Toangoma funcity chenye ukubwa wa Meter 35*35 kinauzwa Milioni 15. Tunaweza kuuziana kwa kukukatia kuanzia 20*15 kwa bei ya Milioni 4. Kiwanja kipo umbali wa km 1 kutoka lami.
0654846084View attachment 968044
Sawa mkuu niwie radhi ni sehemu ya kutafuta tu kama mteja atavutiwa na chako ni vizuri na akivutiwa na changu ni sawa vilvile kama utapata mteja anayehitaji changu naomba tufanye biashara utakula asilimia kumi za mauzoSawa mkuu ila kwa ushauri tu siku nyingine anzisha tangazo lako kuliko hivi ulivyopost hapa.asante
Sawa mkuu niwie radhi ni sehemu ya kutafuta tu kama mteja atavutiwa na chako ni vizuri na akivutiwa na changu ni sawa vilvile kama utapata mteja anayehitaji changu naomba tufanye biashara utakula asilimia kumi za mauzo