Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Tanga

Kakondele

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
238
Reaction score
214
Kiwanja kinauzwa kipo Kange Mkurumuzi Tanga mjini km4 kutoka stend mpya
Urefu 27m
Upana 22m

kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna zoezi la urasimishaji ili viwanja vipimwe na kupewa hati,fomu gharama yake ni tzsh 1000/=kwenye serikali ya mtaa ambapo litajazwa jina la mnunuzi,na gharama zote mpaka unakabidhiwa hati ni tzsh 200000/=

Bei ya kiwanja ni Tzsh 2700000/ =
Mawasiliano 0765062114/0620383653
Whatsap 0759399805

Duh, mkuu hiki kiwanja kimetangazwa mitandaoni kwa muda mrefu sasa (miezi mingi sana) lakini bado tu kutoka.

Naona hata bei imeshuka kidogo sasa.

Kila la kheri.
 
Kiwanja kinauzwa kipo Kange Mkurumuzi Tanga mjini km4 kutoka stend mpya
Urefu 27m
Upana 22m

kiwanja bado hakina hati lakini kwa sasa kuna zoezi la urasimishaji ili viwanja vipimwe na kupewa hati,fomu gharama yake ni tzsh 1000/=kwenye serikali ya mtaa ambapo litajazwa jina la mnunuzi,na gharama zote mpaka unakabidhiwa hati ni tzsh 200000/=

Bei ya kiwanja ni Tzsh 2200000/ = maelewano yapo
Mawasiliano 0765062114/0620383653

Whatsap 0759399805

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…