Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Tegeta A

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Tegeta A

Msiri

Senior Member
Joined
Jan 10, 2010
Posts
116
Reaction score
95
Kiwanja kinauzwa Tegeta A. Square meter 400. Bei ni shs 15m. Kuna matofali mengi tu kama bonasi. PM au email tajirika@gmail.com. Mhusika mimi kwa hiyo hakuna udalali.

IMG-20220516-WA0015.jpg
IMG-20220516-WA0013.jpg
IMG-20220516-WA0012.jpg
IMG-20220516-WA0010.jpg
IMG-20220516-WA0009.jpg
IMG-20220516-WA0008.jpg
IMG-20220516-WA0011.jpg
IMG-20220516-WA0014.jpg
 
Ukitaka kufika kwenye hicho kiwanja unashukia kituo gani cha daladala?.
Na ni umbali gani toka Bagamoyo road?.
Maji na Umeme vipi karibu?.
 
Back
Top Bottom