chofachogenda
Senior Member
- Oct 6, 2016
- 107
- 199
Kiwanja kina ukubwa wa 20 kwa 20 (400 sqm) kuna vyumba viwili ambavyo vimekamilika na mwenyewe anaishi hapo . Unapanda bajaji za kwenda kwa madawa (kituo cha kushukia ni kwa madawa) sio mbali kutoka hapo na kiwanja kilipo.
Bei ya kiwanja ni shilingi milioni 13 .
Mawasiliano 0716694624/0685084315
Bei ya kiwanja ni shilingi milioni 13 .
Mawasiliano 0716694624/0685084315