Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Tegeta wazi

uncledalali

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
249
Reaction score
118
Ukubwa wa kiwanja ni 700Mita za Mraba.

Kiwanja kipo eneo la Makazi, hakijapimwa, unaruhusiwa kuleta Mtafiti wa ardhi kukiangalia kimekaaje.

Kiwanja kipo eneo zuri, barabara ni nzuri hadi kwenye kiwanja.

Bei ni Tshs 8500,000
Tuwasiliane 0713226191
 
Umeme Upo Jirani kabisa, Maji yapo na Umbali toka kwenye kiwanja hadi kiwanda cha sementi Wazo ni kama Kilomita3.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…