Plot4Sale Kiwanja kinauzwa utowangoma 35×70 bei 10M

Plot4Sale Kiwanja kinauzwa utowangoma 35×70 bei 10M

Mbikiboy

Member
Joined
Feb 15, 2019
Posts
89
Reaction score
86
Kiwanja kinapatikana Utowangoma ni Km 1 toka barabara kuu ktk njia ya kwenda Kambi stoo.Tuwasiliane kama unahitaji kwa simu namba 0677089280
20210616_151835.jpg
 
Utowangoma ipo Dar es Salaam karibu na Kigamboni .Barabara ya kutokea Mbagara kuelekea Kigamboni.
 
Kiwanja kinapatikana Utowangoma ni Km 1 toka barabara kuu ktk njia ya kwenda Kambi stoo.Tuwasiliane kama unahitaji kwa simu namba 0677089280View attachment 1826626
Duuuhhhh, kama ndio hapo ulipopata chini kiwanja kisicho na nyumba kinauzwa mpaka ml.2.
Ukibisha naweka namba ya simu ya majamaa wanaouza viwanja viwanja huko kwa ml.3 ili anayetaka awatafute.
 
Duuuhhhh, kama ndio hapo ulipopata chini kiwanja kisicho na nyumba kinauzwa mpaka ml.2.
Ukibisha naweka namba ya simu ya majamaa wanaouza viwanja viwanja huko kwa ml.3 ili anayetaka awatafute.
Ushachanganya habari .... Utatapeliwa hakuna kiwanja cha M2. Tuangoma
 
Back
Top Bottom