Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Zanzibar - kina ukubwa wa mita mraba 800

CalifNice

Member
Joined
Mar 28, 2012
Posts
78
Reaction score
28
  • Kiwanja kipo eneo la Chonga wilalya ya Chake chake
  • Kina ukubwa sqm 850
Kipo mita 30 kutoka barabara kuu
*Kiwanja kipo karibu msikiti na hospital ya Chonga
  • Umeme ushafika hauhitaji nguzo
  • Madrasa ya Qurani yapo hapohapo
  • Kuna miti (3) ya mikungu, mshelisheli (1) na muembe ng'ongo (1)

Bei Tsh 15,000,000

Wahi OFFER sasa kabla haujachelewa!
Mawasiliano No. 0673 17 5000
 
Kwel kisheria sijui Ila fuatilia mwenyew ujue hii ni biashara inatangazea
 
Haya fursa hiyo, msije kulalamika hamruhusiwi kununua viwanja Zanzibar
 
Huu sio mtego watu wa Bara tunaruhusiwa kumiliki kiwanja huko Zanzibar?
Hapo unakuta baada ya kununua, Sheha Makame anakuja umuoneshe kitambulisho chako cha Mzanzibari mkaazi!! Ukikikosa hicho kitambulisho, ndiyo basi tena. Unanyang'anywa kiwanja
 
dah sio poa
halafu kama mkristo ndio kabisa
 
Huu sio mtego watu wa Bara tunaruhusiwa kumiliki kiwanja huko Zanzibar?
Ndio unaruhusiwa, uwe na kitambulisho cha Mzanzibari tu ( yaani Raia wa Tanzania anaeishi Zanzibar) ndio maana ya kitambulisho hicho.
Kinapatikana kwa nusu saa tu kwa laki 3.
Mwaka ujao vitatolewa bure kwa wabara wote walioko visiwani ili wapate kupiga kura Zanzibar, wazenji wa kuzaliwa hawapigi kura CCM hata awe anavaa kijani, kisa CCM ndio inayong'ang'ania muungano. Ulizia hata dereva wa taxi anajua utapataje kitambulisho ndani ya nusu saa.
 
ENDELENI kuvinunua ENDELENI kununua Ardhi Raha ya Wazanzibar tunajuwana bila hata ya vitambulisho kuna siku sheria na taratibu ZITAFUWATWA tuseje kulaumiana vitakutokeeni KTK Tundu yoyote ILIYO wazi
Wakati utaongea
 
Back
Top Bottom