ππππππππ... machogo wanaruhusiwa kukinunua?
Kwani watu wa visiwani hawako jf?Huu sio mtego watu wa Bara tunaruhusiwa kumiliki kiwanja huko Zanzibar?
oh sawaKwani watu wa visiwani hawako jf?
Hapo unakuta baada ya kununua, Sheha Makame anakuja umuoneshe kitambulisho chako cha Mzanzibari mkaazi!! Ukikikosa hicho kitambulisho, ndiyo basi tena. Unanyang'anywa kiwanjaHuu sio mtego watu wa Bara tunaruhusiwa kumiliki kiwanja huko Zanzibar?
dah sio poaHapo unakuta baada ya kununua, Sheha Makame anakuja umuoneshe kitambulisho chako cha Mzanzibari mkaazi!! Ukikikosa hicho kitambulisho, ndiyo basi tena. Unanyang'anywa kiwanja
Machogo mwisho Chumbee... machogo wanaruhusiwa kukinunua?
Ndio unaruhusiwa, uwe na kitambulisho cha Mzanzibari tu ( yaani Raia wa Tanzania anaeishi Zanzibar) ndio maana ya kitambulisho hicho.Huu sio mtego watu wa Bara tunaruhusiwa kumiliki kiwanja huko Zanzibar?
ENDELENI kuvinunua ENDELENI kununua Ardhi Raha ya Wazanzibar tunajuwana bila hata ya vitambulisho kuna siku sheria na taratibu ZITAFUWATWA tuseje kulaumiana vitakutokeeni KTK Tundu yoyote ILIYO waziNdio unaruhusiwa, uwe na kitambulisho cha Mzanzibari tu ( yaani Raia wa Tanzania anaeishi Zanzibar) ndio maana ya kitambulisho hicho.
Kinapatikana kwa nusu saa tu kwa laki 3.
Mwaka ujao vitatolewa bure kwa wabara wote walioko visiwani ili wapate kupiga kura Zanzibar, wazenji wa kuzaliwa hawapigi kura CCM hata awe anavaa kijani, kisa CCM ndio inayong'ang'ania muungano. Ulizia hata dereva wa taxi anajua utapataje kitambulisho ndani ya nusu saa.