Plot4Sale Kiwanja kinauzwa Zanzibar

baby seky

Member
Joined
Apr 18, 2019
Posts
10
Reaction score
13
Habari nauza kiwanja changu kipo Zanzibar Kiwengwa, kina ukubwa 33*30 kutoka kwenye kiwanja hadi beach ni dakika 5 kwa kutembea. Kiwanja kinafaa kwa makazi binafsi lakini pia kwa biashara

Nauza kwa tsh 30million maongezi yapo πŸ™

Namba ya simu 0764090800
 
Watanganyika tunaruhusiwa kuja Kununua?...
Sheria ya ardhi Zanzibar inasemaje kuhusu umiliki wa ardhi?
 
33Γ—30 kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…