Ruhazwe JR
JF-Expert Member
- Jan 31, 2011
- 3,402
- 925
Enny,usiwe na hofu yawezekana nimekose lugha ni million 15 pungufu tunajadilianaBei nafuu ndio bei gani?
ukubwa wake ni sqr mita 1015sema ukubwa wake
nafikiri ntakua nimekujibu au!weka wazi bei pamoja na ukubwa wa kiwanja.
Enny,usiwe na hofu yawezekana nimekose lugha ni million 15 pungufu tunajadiliana
tufanye majadiliano kwa hand set inakua inapendeza au unasemaje?Chukua million 6.5