Kiwanja Kinauzwa. Kipo maeneo ya Kimele Bagamoyo, Kabla hujafika Shule ya BaoBab unaingia upande wa Kushoto kama umetokea Bunju Dar es Salaam. Kipo umbali wa Kilometa 2 kutoka Barabara Kuu ya Lami. Ukubwa ni 30*15. Bei ni 6Mill. Maelewano yapo.
Kwa mawasiliano: +255 (0) 753 912 635