Stanley mrema
Member
- Oct 13, 2012
- 22
- 2
Kiwanza kinaunza
Mahali: Kinzudi
Ukubwa: 40*50m
Bei:. Milion 65 (maongez yapo)
Umeme na maji vipo hapo hapo
Kinzudi hii hii niijuayo mimi ya Goba ndio size hiyo unauza million 65? Duuuhh. Hapo ukiuza kwa bei nzuri saaaaana utauza milion 25
Kinzudi hii hii niijuayo mimi ya Goba ndio size hiyo unauza million 65? Duuuhh. Hapo ukiuza kwa bei nzuri saaaaana utauza milion 25
kinzudi ni wilaya gani, mkoa gani, eneo la wapi hilo kaka.Kiwanza kinaunza
Mahali: Kinzudi
Ukubwa: 40*50m
Bei:. Milion 65 (maongez yapo)
Umeme na maji vipo hapo hapo
NB: Kuna jengo la ghorofa moja ambalo kidogo lipo chini ya kiwango, ni uamuz wako kulirekebisha au kubomoa na kuanza ujenz upya
Kata ya Gobakinzudi ni wilaya gani, mkoa gani, eneo la wapi hilo kaka.
Kata ya GobaKinzudi ndio wapi huko?, kwa nini hujalielezea vizuri hilo eneo lako kuwa liko karibu na nini? Barabara ipo ya uhakika, kiwanja kimepimwa na kina hati?
Lakini kaka kiwanja hata hekari 1 hakijafika unauza 65Mil