Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

rutaratara

Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
21
Reaction score
12
Kiwanja chenye ukubwa wa 25 kwa 25 ,kinauzwa , Kiwanja kipo kibamba . Kinaumbari
Wa m500 ,kutoka morogoro load , katembea kwa miguu mpaka kilipo ni dk 20 /30. gari inafika bila shida. Umeme na maji vipo , eneo lipo tambarare ,na nilahisi kwa kujenga. bei million 6 . Unaweza kulipa kwa awamu, ila hutaruhusiwa kujenga kabla huja maliza deni . 0653998683.
 
Morogoro load????[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
500m unatumia dakika 20?!
Au unamaanisha 5km?
Anyways, Kibamba yenyewe ni ipi? CCM? Shule? Hospital? Kibwegere? Hebu toa maelezo yanayoeleweka
 
Ukiwa unatoka mbezi , upande wa kulia , karibu na emet secondary , shuka ruguruni , fuata barabara ya lapaz mita 500 , pia kipo kwenye proces ya kupimwa ,. Mie sijalipia upimaji ,ila ukinunua ,utalipa hapo garama za upimaji ,200,000
 
Chamsingi ni kufanya mawasiliano ,na kuja kukiona , na kupata detail kwa majirani, karibu na plot,. Maana ni eneo ambalo limepakana na nyumba nzuri na za kisasa. 0653998683 . Napia kwa wale mnao hofia bomoabomoa , huwezi kujua chochote humu , chamsingi fika ulione eneo , lilipo, pia utapelekwa selikarini kuona lamani ya eneo , na kulidhika
 
500m unatumia dakika 20?!
Au unamaanisha 5km?
Anyways, Kibamba yenyewe ni ipi? CCM? Shule? Hospital? Kibwegere? Hebu toa maelezo yanayoeleweka
Kibamba kwa MANGI/ Street mdidimua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…