Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

JMWAKA

JF-Expert Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
739
Reaction score
652
Nauza kiwanja 20×20 kipo Kiluvya kilomita 1 kutoka lami kuu karibu na zahanati ya Kiluvya na shule ya sekondari bei yake milioni 3.5 mazungumzo yapo
Mawasilian
 
Nina hati ya kimila Taratibu zote zinafwata za serikali ya mtaa ni kipande cha kiwanja n kikubwa nakata kipande cha 20×20
 
Nina hati ya kimila Taratibu zote zinafwata za serikali ya mtaa ni kipande cha kiwanja n kikubwa nakata kipande cha 20×20
Lara 30m*30m nikupe hiyo pesa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…