kingunge wa jf
JF-Expert Member
- Dec 24, 2013
- 466
- 468
Katikati ya Chanika na Masongola.Mvuti ndo sehemu gani vile dar, andika well known jina la mtaa au kata
Mbona bei kubwa sana kwa maeneo hayo au kina nyumba tayari mkuu?
Nadhani mwenye kutoa tangazo atakuwa ni dalaliKwa maeneo ya mvuti kwa hiyo bei uko juu sana mkuu
Meter 20*20 ( sqm 400) ni kiwanja finyu/kidogo
Mathalani kwa Maeneo ya karibu na mji kiwanja cha 20*20 kinauzwa kati ya 3.5 mpaka 5m
Kwa maoni na ushauri ili uuze
Hapo bei Fanya iwe kati ya 2m mpaka 2.5m.
Kila la kheri.