Prince Juzo
Member
- Feb 4, 2018
- 56
- 73
Kiwanja kipo Mahoma Nyika (kitalu BD), Dodoma.
Kiwanja kimepimwa, ukubwa ni 514 m².
Sifa za Eneo kiwanja kilipo.
Kipo karibu na stendi ya mabasi ya mkoani, soko la ndugai , Magufuri City, Ring road na uwanja wa ndege wa Msalato International Airport. Yaani kimezungukwa na hivi vitu.
Sababu ya kukiuza: Ninashida na hela.
Bei ni Tsh 4.5 M.
Kama una huitaji ni PM.