Kiwanja kinauzwa

Kiwanja kinauzwa

ilisha juniour

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
714
Reaction score
219
Kipo ubungo riverside eneo la makoka, kipo karibu na barabara kubwa na kimejengwa mabanda mawili ya wapangaji yenye vyumba viwili viwili,,kinafaa pia kujenga flemu za biashara.
Mwenye uhitaji DM tafadhari kwa maelekezo zaidi
 
Jiongeze chaliii
Anataka twende DM tukaulize kiwanja kina ukubwa gani, hayo mabanda yana hali gani, na kama ameyapangisha analipwa bei gani, bei nayo tumfuate DM na picha za eneo nazo anataka tumfuate DM😂😂😂😂😂. Lakini cha ajabu yeye tangazo lake hajatutumia DM
 
Kipo ubungo riverside eneo la makoka, kipo karibu na barabara kubwa na kimejengwa mabanda mawili ya wapangaji yenye vyumba viwili viwili,,kinafaa pia kujenga flemu za biashara.
Mwenye uhitaji DM tafadhari kwa maelekezo zaidi
Kuna mdau ameweka bei ya bilioni 4 ni kweli!!? Ili tusijiangaishe kuja DM
 
Back
Top Bottom