ilisha juniour
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 714
- 219
Haijatajwa bei hapo tafadhari!!!square meter 500 kwa bei ya Bilioni 4 si bora nikanunue Apartments Uingereza.
Ni utamaduni wetu kuweka bei, picha na maelezo ya nyaraka za umiliki ili kupunguza usumbufu. Makoka yenyewe kubwa eleza ni sehemu gani hasaHaijatajwa bei hapo tafadhari!!!
Jiongeze chaliiiHaijatajwa bei hapo tafadhari!!!
Anataka twende DM tukaulize kiwanja kina ukubwa gani, hayo mabanda yana hali gani, na kama ameyapangisha analipwa bei gani, bei nayo tumfuate DM na picha za eneo nazo anataka tumfuate DMπππππ. Lakini cha ajabu yeye tangazo lake hajatutumia DMJiongeze chaliii
Ndio bei yake!!?square meter 500 kwa bei ya Bilioni 4 si bora nikanunue Apartments Uingereza.
Kuna mdau ameweka bei ya bilioni 4 ni kweli!!? Ili tusijiangaishe kuja DMKipo ubungo riverside eneo la makoka, kipo karibu na barabara kubwa na kimejengwa mabanda mawili ya wapangaji yenye vyumba viwili viwili,,kinafaa pia kujenga flemu za biashara.
Mwenye uhitaji DM tafadhari kwa maelekezo zaidi