Plot4Sale Kiwanja kinauzwa

Sengi

New Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
2
Reaction score
2
Kiwanja (20x40) Tsh 6.5M kimekaa Tambarale kabisa, kimezungukwa na makazi ya watu pamoja na huduma zote kijamii

Kiwanja hiki Kipo kiluvya makulunge karibu na zahanati ya makulunge upande wa kulia wa barabara ya kuelekea kwa sumaye, umbali kutoka kwa hiyo barabara mpaka kiwanja kilipo ni dakka3 tu upo site

Kinafaa kwa makazi. Barabara ipo vizuri mpaka site


Documents za umiliki zipo toka Serikali za mtaa.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…