Habari waungwana...
Nauza kiwanja kipo kifuru kingazi ni barabara ya Tabata kinyerezi. Ni sqm 700 kwa ml 9.5 tu bei ya mwanzon ilkuw ni ml 11. Umbali Toka main road ni dakika 5 tu.. ni offer karibun hakina dalali unaongea na mmiliki mwenyewe. 0764423726