Wakuu,
Kiwanja kinauzwa.
Kipo Jangwani Beach (ndani ya Mbezi Beach).
Kwa anayetaka kukiona, awasiliane nami directly, ama kwa simu ama kwa email.
Simu: +255-786-019019 au +255-715-019119
Email:
strategos@africaonline.co.tz
Sitaki madalali, nawataka wahusika, yaani wanunui wenyewe.
Bei, kuanzia TZS Milioni 200, lakini maelewano yapo.
Ninaambatanisha ramani (site plan) yake.
Asanteni.