Kiwanja kinauzwa

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,074
Reaction score
308
Kipo Makongo Juu. Kina ukubwa wa heka mbili. kimepimwa kina makaratasi safi. Bei shs 230mil. karibu ujionee. kwa maelezo ya ziada piga simu na 0717114409 au 0784225000
 
si bora nikanunue scania zangu za mtumba mbili tena pulling!hela inayobaki nikanunue kiwanja chenye nyumba na umeme makabe
 
Jamani hivi mnafikiri kila mtu ni fisadi, kamuuzieni Lowasa
 
ni akili za kifisadi fisadi hivi, mambo mengine kaeni nayo huko kimyakimya msiyalete hapa, wasilianane na hao mafisadi si wanajulikana??
 
Huu ni uizi sasa, au unataka watu wakaibe? na kwa vile mnapata wateja wenye dirty money ndio maana hizi biashara zinashamiri kila kukicha ukiiulizia nyumba hapo sinza ya kupanga unaambiwa laki 7 hutaki ondoka shauri ya hawa watu.
 
We kitomai do you mean 23mn au?
 
Kipo Makongo Juu. Kina ukubwa wa heka mbili. kimepimwa kina makaratasi safi. Bei shs 230mil. karibu ujionee. kwa maelezo ya ziada piga simu na 0717114409 au 0784225000

Mkuu ukishakiuza hebu leta JF asilimia 0.001% kama commision
 
Kipo Makongo Juu. Kina ukubwa wa heka mbili. kimepimwa kina makaratasi safi. Bei shs 230mil. karibu ujionee. kwa maelezo ya ziada piga simu na 0717114409 au 0784225000

Mkuu, unafanya udalali? Tsh 230 milion/heka 2...!!? Tangazo ni la kuuza kiwanza au kiwanja?
 
Hicho ni kiwanza na sio kiwanja !

Mkuu hilo eneo si ni JWTZ na bado mgogoro unaendelea?
 
Jamani Tanzania hatuna uhaba wa ardhi kiasi hicho, hizo bei ni za ughaibuni ambako ardhi adimu. Hebu tupisheni na mambo yenu ya kukopi na kupaste!
 
Kipo Makongo Juu. Kina ukubwa wa heka mbili. kimepimwa kina makaratasi safi. Bei shs 230mil. karibu ujionee. kwa maelezo ya ziada piga simu na 0717114409 au 0784225000

Ohhh Lord!!!😕
 
230m duuu kweli sio mchezo...Na hicho kiwanja kipo hapo makongo na hicho kiwanja eka 2........Bora hizo hela nikatoe msaada kwa wasiojiweza!!
 
Hii bei utasema kiko ufukweni mwa bahari, mtu unapata na beach yako kazi kwei kwei!
 
AAhhhhhha!!!!!!!! wewe Kitomai acha kuchekesha yaani wewe unafikiri wote ni wakina Richmond? du!! kwanza mimi naishi huko JWTZ bado kuna mgogoro mkubwa tu ok labda unauza sehemu ingine tutakuelwa. lakini 230M. Nafikiri umekosea si 2.3M ???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…