kiwanja kinauzwa

kiwanja kinauzwa

jrutta

Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
45
Reaction score
12
kiwanja kipo maeneo ya Vianzi karibu na Tank la maji ni tambalale.mita 40 kwa 30 hatua za kawaida.viko 2 on one place.Tsh 4 milion.mawasiliano 0713649555
 
Weka details vizuri!

Hivi unafahamu kuna wenzetu hawaijui Tanzania bila kutaja kwanza East Africa ndipo avute concept!

Huko ulikotaja ni wapi?
 
kongowe ipi aisee ya mbagala au ya kibaha kuwa specific na bei haipungui?
 
milioni nne kwa hivyo viwili au kimoja?call me 0784198319
 
kumbe vianzi ndio wapi?ilala kinondoni au temeke au kibaha?
 
kiwanja kipo maeneo ya Vianzi karibu na Tank la maji ni tambalale.mita 40 kwa 30 hatua za kawaida.viko 2 on one place.Tsh 4 milion.mawasiliano 0713649555

Mkuu mbona unashindwa kuelezea vizuri. Eleza kipo Kongowe ipi kama mdau hapo juu alivyokuuliza.
 
Mkuu ni Vianzi hii njia ya kwenda mkuranga mjini? If yes, hiyo bei uko juu sana mkuu
 
Back
Top Bottom