Weka details vizuri!
Hivi unafahamu kuna wenzetu hawaijui Tanzania bila kutaja kwanza East Africa ndipo avute concept!
Huko ulikotaja ni wapi?
kiwanja kipo maeneo ya Vianzi karibu na Tank la maji ni tambalale.mita 40 kwa 30 hatua za kawaida.viko 2 on one place.Tsh 4 milion.mawasiliano 0713649555