Next Level
JF-Expert Member
- Nov 17, 2008
- 3,153
- 180
Nilikuwa offline kidogo, nilirudi nimeona vijana mmejadili hili dili kwa upana sana, Thanks all of u!!!. Hicho kiwanja hakina hata mti wa kung'oa, nimeshakilima majani mara mbili, Ki-ukweli hutaweza kujutia kukipata. Kupimwa kuna maana kuweka plan ya barabra na huduma nyingine muhimu sehemu. HIVYO SIYO SKWATA HATA CHEMBE.
We kijana vp unaenda offline wakati una-hot dili hapa kijiweni?......kalagabaho.....!
Shapu ....mesikia mineno hiyo? sasa ulete blabla zako tena.......!
Wewee you know me a man of actions! titaona next week kama deal itakuwa bado ipo.
Hivi wale walio hamishwa air port walipelekwa wapi? si huko huko Pugu?
Hata wale wa pale Tabata dampo walipelekwa wapi?
Yeeeeeeeeeeeeess u got it right.....ndo huko huko!