Kiwanja Kinzudi kinauzwa jirani na Sarasara

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Kiwanja maeneo ya Kinzudi jirani na Sarasara kinauzwa, ndani kuna jengo halijaisha, ukubwa wa eneo ni sqm 1000 bei 38ml, kwa mawasiliano piga 0773 944 944, meza ya mazungumzo iko wazi.
 
Kiwanja maeneo ya Kinzudi jirani na Sarasara kinauzwa, ndani kuna jengo halijaisha, ukubwa wa eneo ni sqm 1000 bei 38000ml, kwa mawasiliano piga 0773 944 944, meza ya mazungumzo iko wazi.

Rekebisha bei bana.......
 
Asante sana mdau nimeisha weka mambo sawa.
 
Naomba kumjua mwalimu wako wa mwandiko ukiwa shule ya msingi....hesabu nakusamehe maana najua ni ugonjwa wa Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…