Landed Property
Member
- Nov 17, 2011
- 40
- 7
Nipe basi simu no. yako kaka. Mimi umenijibu lakini hujanipatia no. yako ya simu au hata email au unitumie no. yako ya simu kwa private message
nadhani umeniewa kaka
kiwanja chenye urefu wa mita 30 na upana wa mita 22 kinauzwa.
Kipo kivule jirani na kanisa (rc) la kigango,
kipo tambarare,
majirani wanaendelea kujenga na wengine wameshahamia,
kinatazama barabara kubwa ya mtaa,
kina faa kwa makazi au biashara,
umeme bado kufika ila upo katika mpango (tanesco wana sambaza nguzo)
hakina hati ya wizara ya ardhi (unsurveyed plot) ila eneo limepangika vizuri sana (pongezi kwa viongozi wa mtaa)
hakina mgogoro wowote.
Bei 7.5m (negotiable)
karibuni
nimepunguza bei sasa nahitaji 6.5m tu
karibuni
Kiwanja chenye urefu wa mita 30 na upana wa mita 22 kinauzwa.
Kipo Kivule jirani na Kanisa (RC) la Kigango,
Kipo Tambarare,
Majirani wanaendelea kujenga na wengine wameshahamia,
Kinatazama barabara kubwa ya mtaa,
Kina faa kwa makazi au biashara,
Umeme bado kufika ila upo katika mpango (Tanesco wana sambaza nguzo)
Hakina Hati ya Wizara ya Ardhi (Unsurveyed plot) ila eneo limepangika vizuri sana (Pongezi kwa viongozi wa Mtaa)
Hakina mgogoro wowote.
Bei 7.5m (Negotiable)
Karibuni
Asante kwa mtazamo wako. Ni kweli sio 2.5m tu; hata BURE unaweza kupata. Nafurahi kukutaarifu kuwa nimekiuza jana kwa TZS 6,200,000.00 na aliyekinunua ni mwenyeji wa Kivule huko huko. Endelea kutafuta utapata vya bei ndogo usikate tamaa.KaribuHivyo viwanja vya huko kivule umenuna sana ni 2.5M Mi napafahamu vizuri sana huko acha kuibia watu hapa.