[emoji654] "kiwanja chenye ukubwa wa square 1200"..???
[emoji654] "huduma za kijamii zote zipo maji umeme hosp schoos" ..???
[emoji654] "ukiweka frem za biashara na ukajenga nyumba ya biashara" ..???
[emoji654] "kimepimwa" ...???
=========================
Kiwanja kina sifa kedekede na uzuri kma huo, sasa umepaniki nini kama ni kweli?
1. Ukubwa 1200 square (mm, cm, m, km)??
2. hosp schoos (ndo vi nini?)
3. Kimepimwa (je ni plot # ngapi eg 180, Block gani? eg "D", LOT gani? eg 89444)