kiwanja kipo Shadi Luchelele(Mwanza)e kimepimwa bei poa sana

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
883
Husika na kichwa cha habari hapo juu ninauza kiwanja chenye ukubwa wa 16*30 kimepimwa kina bcon mimi ndiye mmliki huduma za jamii kama maji umeme tayari vimefika
bei ni milion mbili na nusu tu hakina mgogoro wowote documents zote zipo
whatsapp me kwa 0763772636 tuyajenge

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mhhh sawa uuze tu ila kule mbali sana hadi kufika nyamalango kuna wafaa wenye usafiri binafsi

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona kuna usafiri ndugu pia mbali kutokea wapi viwanja vimepimwa vina Bcon kabisa bei yenyewe hiyo maji yapo umeme upo vituo vya afya vipo shule zipo daah ndugu kwa wanaoelewa dhaman ya arithi watanipata boss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…