Kiwanja kisarawe mkoani Pwani

Kiwanja kisarawe mkoani Pwani

Joined
Nov 14, 2023
Posts
71
Reaction score
53
Habar wanajukwaa

Jamani kwa mwenye kunisaidia natafuta kiwanja cha kujenga makazi wilaya ya kisarawe mkoani pwani hususa kisarawe penyewe si zaidi ya hapo namaanisha si sehem jirani.

Natanguliza shukurani
 
Back
Top Bottom