ABUBAKARY Barnabas Member Joined Nov 14, 2023 Posts 71 Reaction score 53 Oct 15, 2024 #1 Habar wanajukwaa Jamani kwa mwenye kunisaidia natafuta kiwanja cha kujenga makazi wilaya ya kisarawe mkoani pwani hususa kisarawe penyewe si zaidi ya hapo namaanisha si sehem jirani. Natanguliza shukurani
Habar wanajukwaa Jamani kwa mwenye kunisaidia natafuta kiwanja cha kujenga makazi wilaya ya kisarawe mkoani pwani hususa kisarawe penyewe si zaidi ya hapo namaanisha si sehem jirani. Natanguliza shukurani
Mr kenice JF-Expert Member Joined Mar 15, 2022 Posts 4,260 Reaction score 7,033 Oct 15, 2024 #2 Wanakuja.
K Kulwa Jilala JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 3,891 Reaction score 8,448 Oct 15, 2024 #3 Umenikumbusha chama langu MINAKI HIGH SCHOOL