wakuu kama kawaida tangaza mahala Jamii inapokutana.
Kinahitajika kiwanja Mkoa wa DSM sio lazima pawe mjini sana hata maeneo ya nje ya mji poa tu, size kuanzia mita 30*40 kiwe kimepimwa au kama hakijapimwa nitamipa mwenyewe ila kisiwe na mgogoro.
Nicheki kwa PM au 0767698281 tufanye biashara. Asanteni.
wakuu kama kawaida tangaza mahala Jamii inapokutana.
Kinahitajika kiwanja Mkoa wa DSM sio lazima pawe mjini sana hata maeneo ya nje ya mji poa tu, size kuanzia mita 30*40 kiwe kimepimwa au kama hakijapimwa nitapima mwenyewe ila kisiwe na mgogoro.
Nicheki kwa PM au 0767698281 tufanye biashara. Asanteni.