Kiwanja! Kiwanja! Kiwanja! Kiwanja kizuri!

JATELO1

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2011
Posts
1,230
Reaction score
301
Wadau kuna kiwanja kizuri katika eneo la Bunju kata ya Mabwepande (Manispaa ya Kinondoni-Dar es Salaam) karibu na eneo maarufu la Manzese ambapo kuna huduma zote za msingi kama vile:

- Maduka yanayouza bidhaa za aina zote
- Guest House nzuri
- Umeme
-shule ya Sekondari ya Mabwe
- Shule ya Msingi ya Mabwe
- Shule ya Sekondari (Private_
- Dispensary ya Mabwe
- Makanisa ya madhehebu zote na misikiti
-Maji yanapatikana kwasasa kwa kununua ya Dawasco lita 1000 kwa Tshs 10,000. Lkn tayari DAWASCO wameshachimbia mabomba ya maji toka Bunju (Bomba linalotoka Ruvu Chini kuja Mjini) na muda si mrefu wanaanza kuwaeka mabomba.

-Usafiri: Kiwanja kiko kama mita 150 kutoka bara bara inayotoka Bunju B kwenda Mbezi kwa Msuguri (Morogoro Road). Barabara inapitika muda wote. Kiwanja kiko kama KM 6 toka Bara bara ya Bagamoyo Road. Kwa wale ambao hawana usafiri, kuna Taxi na Daladala muda wote kwa Tshs. 500(mia tano tu) tu. Lkn pia kuna pikipiki kwa Tshs. 1000 (elfu 1 tu).

-Ukubwa wa kiwanja ni square metre 800 tu. Bei ya kiwanja ni Tshs. Mil. 8 tu (8,000,000).

KUKUTOA HOFU:
Kwa wale ndugu zangu wanaopenda kubeza eneo la Mabwepande kwa hofu ya ule msitu wa hifadhi ya taifa wa Mabwepande ambapo ndugu Ulimboka aliteswa, naomba niwafahamishe yafuatayo:
-Lile eneo la msitu wote sasa tayari una mwekeyzaji ambaye anajenga Hoteli kubwa ya Kitalii ikiwa ni pamoja na kuweka ZOO ya wanyama na tayari kazi imeanza pale. Na hata sasa ninavyoandika hili tangazo nguzo za umeme zimeshafikishwa hapo msituni ikiwa ni pamoja na maji ya DAWASCO nayo yanapelekwa hapo. Hii ni faida kubwa sana kwa wananchi wa maeneo haya, kwani tayari wamepata umeme na zaidi maji safi ya Bomba yanafika muda si mrefu.

Eneo halijapimwa lkn iko surveyed, pia tayari manispaa ya kinondoni wameshakuja na wamechukua mkopo wa 16 Billions kuja kupima eneo hilo ndani ya muda mfupi sana ujao, kwani tayari wameshakuja kuongea na wananchi.

Kumbuka:
Taarifa zinaonyesha kwamba baada ya viwanja hivyo kupimwa, manispaa wataviuza si chini ya Tshs. 12,000 per sqm. Si unakumbuka vile vya mwanzoni katika eneo hilo hilo la Bunju viliuzwa Tshs. 10,000 kwa sqm na hvikutosha watu. Lkn wewe utakenunua kiwanja hiki utaweza tu kugharimikia tu gharama ya upimaji ambayo ni ndogo sana.

Na kwa wale ambao wanshinda mjini na wana muda mrefu au hawajwkwenda huko hata siku 1, tafadhali panga muda wako na utembelee maeneo hayo na utashangaa jinsi watu wanavyofanya kufuru ya ujenzi maeneo hayo.

NB: Kwa yeyote atakayehitaji, tafadhali NIPM au piga simu: 0713 690 769 au 0754 317 734.

Ahsanteni na karibuni.
 
Ndugu zangu,
Kiwanja bado kipo tafadhali tuwasiliane kwa namba hizo. Makubaliano yapo.
 
Haya, umeniuzia kiwanja m8, manispaa wamekuja kupima kiwanja, kumbe kwenye kupima kwao kiwanja ulichoniuzia m8 kipo barabarani. Hapo hasara ni ya nani?
 
Usihofu mkuu, eneo liko surveyed tayari na manispaa wanapokuja wanathibitisha tu, kwani barabara na open spaces pamoja na maeneo ya social services yalishatengwa. Karibu mkuu na hata kwenda kuona kabla ya kufanya maamuzi ya busara kama haya.
 
Back
Top Bottom