Njia panda ya Himo, KIA, Majengo au wapi?
Mbona mnapenda kuweka post zisizokamilika?
Mtajifunza lini kufanya Biashara nyinyi watu?
Yaani unaandika utafikiri watu wanapajua hapo "njia panda" kwako!!
weka bei yako alafu ndo useme kama mazungumzo yatakuwepo