Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Kitunda (Magole)

kwadilo

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2018
Posts
756
Reaction score
898
Habari wana jamii
Kiwanja kinapatikana wilaya ya ilala, maeneo ya Kitunda (Magole)
Ukubwa ni Sqm 400 (meter 20 kwa 20)
Umbali kutoka barabara kuu ya gari.
Ndani ya kiwanja kuna pagala la vyumba viwili na sebule.
Huduma za maji na umeme zote zipo jirani.
Karibu kwa mwenye uhitaji

Bei: 8m
Mawasiliano: 0656 387577

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…