Plot4Sale Kiwanja kizuri kinauzwa Tabata kwa Swai 45mil...tu

Huyo Swai katokea wapi Tabata, walugaluga mnavuruga mji wetu
Mshamba wewe, Tabata kwa Swai ni eneo ambalo ni kongwe. Mzee Swai yupo toka 1,990 kwenye hilo eneo. Ni centre ya kuelekea Tabata Kisukuru, Segerea, Maji Chumvi pamoja na Migombani.
 
Mita25×mita25=500sqm mita??!
Hesabu ulisomea wapi mjuba!?

Hayo maeneo ya Kwaswai yalijengwa kiswazi sana though kumechangamka toka kitambo.

Hiyo bei kwa maeneo hayo ipo chini sana.
Mwenye uwanja ana shida gani mpaka auze kwa bei ya kutupa?!
 
Mita25×mita25=500sqm mita??!
Hesabu ulisomea wapi mjuba!?

Hayo maeneo ya Kwaswai yalijengwa kiswazi sana though kumechangamka toka kitambo.

Hiyo bei kwa maeneo hayo ipo chini sana.
Mwenye uwanja ana shida gani mpaka auze kwa bei ya kutupa?!
Sawa mkuu madalali wengi na wamiliki wengi wa viwanja shule yetu ndogo sana mkuu, mambo yetu yapo kienyeji sana, unprofessional sana mkuu, pole ndugu msomi.

Maeneo saivi na mji unajengeka panakuwa center sasa toka kwenye uswahili, dar pamepanuka ivyo uswahili unaenda kuisha.

Mkuu kuhusu bei ya kiwanja kuwa chini sifahamu kwa nini muuzaji kaamua kuuza kwa bei hiyo....ila bila shaka ana matatizo na shida za kifedha.....karibu udake dodo na bahati yako tajiri....karibu mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…