Plot4Sale Kiwanja kizuri Kinyerezi (njia ya lami kuelekea songas)

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,665
Kiwanja kinapatikana kinyerezi kwenye barabara ya lami kuelekea SONGAS
Maelezo husika
kiwanja kina sqm 612
Kipo umbali wa meter 800 kutoka barabara kuu ya (Kinyerezi/malamba mawili)
Kiwanjo kipo surveyed na kina hati miliki (full titled)
Kiwanja chote ni tambarare na kipo mazingira mazuri
Bei : 45m (neg)
More details : 0756 832833
(Only serious buyers)

See attachment belowView attachment 939130
 
hiki kiwanja unaingilia kecha kwenda songasi aukinyerezi mwisho?
 
hiki kiwanja unaingilia kecha kwenda songasi aukinyerezi mwisho?
Kinyerezi mwisho hufiki Mkuu,
Ni kabla upande wa kushoto kwenye lami ya kuelekea SONGAS.
 
Plot at Kinyerezi kibaga A (maghorofani street)
Full titled
Plot size: sqm 1190
Distance from main road 800 meters
All facilities available
Price: 70m
 
Hiyo ya million 70 ya kibaga A mwambie mhusika Nina 40 million cash tufanye biashara.
Kuna cha mbuyuni (njia panda) sqm 1480
Full titled
Meter 800 toka lami.
42m
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…