papaa maglass
JF-Expert Member
- Nov 27, 2014
- 353
- 300
Nipo maeneo ya Mafinga hapa kwa wiki moja wenyeji niambieni Kiwanja kizuri nachoweza kupata moja moto moja baridi, msosi na watoto wakali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuhusu watoto kuwa mwangalifu vinaumwa sana ukiuziwa condom hata 20 000 chukua tu ndugu na usiangalie sura kwa pale mafinga hangaika na ushepu tu wengi wana sura za baba ila ule " umama:"uko vzr sana na ukiwa mrefu utaonekana twiga wengi andunje .Nipo maeneo ya Mafinga hapa kwa wiki moja wenyeji niambieni Kiwanja kizuri nachoweza kupata moja moto moja baridi, msosi na watoto wakali
Jana nilipata Kiwanja kimoja kinaitwa The Prince kina watoto wakali na misosi sio mbaya ngoja Leo nitapafuta hapo saigoniKuhusu watoto kuwa mwangalifu vinaumwa sana ukiuziwa condom hata 20 000 chukua tu ndugu na usiangalie sura kwa pale mafinga hangaika na ushepu tu wengi wana sura za baba ila ule " umama:"uko vzr sana na ukiwa mrefu utaonekana twiga wengi andunje .
Mademu wote nilikuwa nawaangalia utosini
Mh kajaribu saigoni nimetumia wiki hapo nimeishia kulala lodge nilipouliza kiwanja salon moja hv mayanki wakaniambia saigon huku wanambwela mbwela .nikaona michosho nikafanya yangu niliyoyajia jioni naingia bar (ya hapo hapo lodge)napata vikali mpaka siku niliyoondoka