Kiwanja kizuri na chenye ubora kinauzwa Kigamboni ( sihitaji dalali tafadhali)

pide89

Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
41
Reaction score
3
Ni kiwanja chenye eneo la kutosha na chenye ubora, hakipo kwenye mgogoro wa mladi wowote, kina hati na building permit, kina square 1047, kina fence nzuri ya ukuta, kuna kisima. Kipo kigamboni mwaeneo ya kibada plot 344 block 19 karibu kabisa na kibada secondary school

kwa mawasiliano zaidi na picha whatsaap 0764914285
 
Dah..imebidi nicheke tu..KIWANJA CHENYE UBORA?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…