Plot4Sale Kiwanja kizuri sana karibu na ziwani Mwanza

Plot4Sale Kiwanja kizuri sana karibu na ziwani Mwanza

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
Kiwanja kizuri kipo barabarani kabisa huduma za kijamii Kama maji umeme vinapatikana kizuri zaidi mawe yanapatikana Hapo hapo kwa wale wanaopenda kupigwa upepo hapa ndo sehemu sahihi.

Kiwanja kimepimwa documents zote muhimu zipo kiwanja kipo Lichulele mwisho wa i
Ice yaani usafiri upo Hadi mlangoni kwako kinaukubwa wa square meter 2730 kinauzwa milion 17 tu na kingine ni square meters 1809 milion 14 kwa maelezo Zaid 0763772636.

IMG20200428183819.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungeweka na Google map ingeleta wateja wengi. Maana wengine Mwanza huwa tunapita tu.


Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom