NAREI
JF-Expert Member
- Mar 10, 2017
- 1,730
- 1,660
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kiwanja au shamba????Salaam,
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta wazo (mji mpya)
Kutoka njia panda wazo ni km 6
Kiwanja kipo kwenye mtaa mzuri na uliopangika
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1200
Kiwanja kipo full surveyed
Bei: 40m
Contact: 0756 832833/ 0656 387577View attachment 928349View attachment 928350View attachment 928351
Uko sahihi kabisa,40m uwanja tu wazee, hio mbona hatari sana! Maana hapo kibishibishi ushapandisha pagala la rum 3 madirisha milango na kenji zake unawaza bati na finishing!
You have a point!Uko sahihi kabisa,
Ila kumbuka wengine tunaishi mbagala wengine wanaishi masaki.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] iko mfuko was shatikuna 3m iko kwenye mfuko wa shati hapa mkuu