Plot4Sale Kiwanja kizuri tegeta wazo kinauzwa

NAREI

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2017
Posts
1,730
Reaction score
1,660
Salaam,
Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta wazo (mji mpya)
Kutoka njia panda wazo ni km 6
Kiwanja kipo kwenye mtaa mzuri na uliopangika
Ukubwa wa kiwanja ni sqm 1200
Kiwanja kipo full surveyed
Bei: 35m
Contact: 0756 832833
 
Attachments

  • tapatalk_1541824535746.jpeg
    80 KB · Views: 63
10M chaap mkuu tuje fanya biashara
 
kuna 3m iko kwenye mfuko wa shati hapa mkuu
 
40m uwanja tu wazee, hio mbona hatari sana! Maana hapo kibishibishi ushapandisha pagala la rum 3 madirisha milango na kenji zake unawaza bati na finishing!
 
40m uwanja tu wazee, hio mbona hatari sana! Maana hapo kibishibishi ushapandisha pagala la rum 3 madirisha milango na kenji zake unawaza bati na finishing!
Uko sahihi kabisa,
Ila kumbuka wengine tunaishi mbagala wengine wanaishi masaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…