HeisenbergJr
Member
- Aug 17, 2015
- 38
- 13
Umenena point mkuu na hii dsm new plan inayokuja lazima watu walieUkutane na Lukuvi anasema umejenga kwenye hifadhi ya barabara afu kiwanja chenyewe umenunua kwa bei ya Kibada wakati ardhi ya Goba imejaaa mabonde kujenga uwe na uwezo sana