Plot4Sale Kiwanja kwa ajili ya filling station/shopping complex kinauzwa Boko

Plot4Sale Kiwanja kwa ajili ya filling station/shopping complex kinauzwa Boko

kimyakya mbwele

Senior Member
Joined
Oct 15, 2007
Posts
144
Reaction score
292
Kiwanja chenye ukubwa wa square metre 3,000 kinauzwa Boko basihaya. kina hati ambayo utapewa copy kwenda kuhakikisha matumizi ya eneo wizarani. kiko barabarani na kinafaa kwa filling station au shopping complex. mnunuzi atapewa design za kisasa za kitu atakachotaka kujenga kutoka kwa wataalamu wetu.
hakina dalali wala mtu kati. unawasiliana na owner moja kwa moja. mawasiliano 0755092734 whatsapp 0754810853,
 
Last edited:
We tapeli. hapo basihaya! upande upi na eneo gani km si uongo
 
Watu mnataka kufumuana mishono😀😀😀😀😀😀😀
 
Amani jamani wote watanzania Doto punguza ukali wa maneno
 
Back
Top Bottom