Plot4Sale Kiwanja kwa chikira njia ya Chanika m 23 kwa m 20 mil 4 na laki tano

Plot4Sale Kiwanja kwa chikira njia ya Chanika m 23 kwa m 20 mil 4 na laki tano

MAMESHO

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
1,432
Reaction score
1,738
kiwanja hiki ni kizuri kwa kujenga nyumba ya kuishi au ya kupanga maana ni KM 1 kutoka barabarani na panafikika kirahisi wakati wote

ukichimba maji yapo karibu

miundombinu ya umeme ipo jirani kabisa

utapati hati ya serikali ya mtaa baada ya mauzo

kwa bei ya sh 4,500,000

kufika kuona piga 0713-683422
 
Back
Top Bottom